
Usikose fursa hii ya kuiinua biashara yako juu Zaidi kwa mafunzo maalumu na shuhuda toka kwa watu mbalimbali ndani ya kampuni, wakiwemo viongozi wa Trévo Tanzania, wakurugenzi wa kitaifa Mike Ajao na David Kagoro pamoja na Rais na Afisa mtendaji mkuu wa Trévo, Mark Stevens. Hakikisha hukosi tukio hili maalumu! Trévo ni miongoni mwa makampuni yanayokua kwa kasi y a ajabu katika biashara ya mtandao na WEWE unaweza kuwa sehemu yake.
Mwaliko Wa Mafunzo Tu
Ijumaa, Mei 6, 2016
Saa 10 jioni
Chakula cha jioni mara tu baada ya hapo kwa watakaopata sifa za Executives, Directors na Leaders.
Hakikisha unapata sifa hizi kabla ya Aprili 1 ili ualikwe katika tukio hili maalumu!
Hyatt Regency Dar es Salaam
The Kilimanjaro Hotel, 24, Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania
Semina Dar Es Salaam
Jumamosi, Mei 7, 2016
Saa 9 alasiri
Mlimani Complex
Sam Nujoma Road
Dar es Salaam
Tanzania
